Kanisa la Gwajima lasubiri Serikali upotevu mali

Dar es Salaam. Uongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, umesema unasubiri msimamo wa Serikali kuhusu upotevu na uharibifu wa mali za kanisa hilo kabla ya kuchukua hatua zaidi. Uongozi unadai kuwepo kwa upotevu na uharibifu wa mali zenye thamani ya Sh2.7bilioni katika kipindi ambacho kanisa lao lilikuwa chini ya ulinzi…

Read More

VODACOM NJOMBE YAKABIDHI KAPU LA SIKUKUU KWA MTEJA WAKE

 Meneja Mauzo wa Vodacom Njombe Malika Malika (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Dickson Mhapu (katikati), katika muendelezo wa kampeni ya “Tupo Nawe Tena na Tena” inayolenga kugawa makapu kwa wateja katika msimu huu wa sikukuu.  Tukio hilo lilishuhudiwa na Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom eneo la Ilembula, Anania Kiwanga (kushoto)….

Read More

Jinsi Mazingira Yanatuathiri – Masuala ya Ulimwenguni

Credit Jan Kopriva Maoni na Gilles-Éric Séralini, Jérôme Douzelet na Gérald Jungers (paris) Ijumaa, Desemba 19, 2025 Inter Press Service PARIS, Desemba 19 (IPS) – Leo hii, jamii ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya tawahudi miongoni mwa watoto duniani kote; ikiathiri hadi 1% ya watoto, ina athari kubwa kwa familia. Neuroinflammation na asili ya…

Read More

Serikali kutoa mirahaba ya bil 1 kwa wasanii mwakani

NA MASHAKA MHANDO WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kupitia Taasisi ya Hakimiliki nchini (COSOTA), inatarajia kuweka historia mpya kwa kugawa zaidi ya shilingi bilioni moja kama mirabaha kwa wasanii wa makundi mbalimbali nchini ifikapo Januari 23, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya majadiliano ya kimkakati kati ya Naibu Waziri wa sekta hiyo, Mhe….

Read More

Ukosefu wa mvua watajwa kusuasua soko la mbolea Mbarali

Mbarali. Wakati wakulima wa mazao ya chakula na biashara katika Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya, wakianza maandalizi ya msimu huu wa kilimo, imeelezwa kuwa ukosefu wa mvua za uhakika umesababisha kusuasua kwa soko la mbolea ya ruzuku. Hali hiyo imetokana na wakulima wengi kushindwa kufanya maamuzi ya kununua mbolea mapema, wakisubiri mvua za uhakika…

Read More