NHC YAUNGA MKONO MAENDELEO YA UNUNUZI NA UGAVI KUPITIA KONGAMANO LA KITAIFA
ARUSHA-Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linashiriki katika Kongamano la 16 la Mwaka la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi jijini Arusha. Kongamano hilo ambalo limeanza leo Desemba 19,2025 linfanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar ambaye amewakilishwa…