TANZANIA YAWEKA ALAMA UWEKEZAJI AFRIKA
::::::::: Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tisa kati ya nchi za Afrika zenye mazingira bora ya uwekezaji kwa mwaka 2025/2026, kwa mujibu wa ripoti ya Business Insider Africa iliyorejelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo. Akizungumza jana wilayani Bagamoyo mkoani Pwani katika hafla ya utiaji saini wa…