Air Tanzania Yatua Victoria Falls kwa Mara ya Kwanza, Yaongeza Safari Zimbabwe
NDEGE ya Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) imefanya first touch down katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Victoria Falls, Zimbabwe, leo mchana tarehe 18 Desemba 2025, hatua inayozidi kuimarisha ushirikiano wa usafiri wa anga kati ya Tanzania na Zimbabwe. Katika safari hizo mpya, shirika hilo limetangaza ofa ya tiketi ya kurudi (return ticket)…