JAFO AKABIDHI CHEREHANI ZA UMEME KWA VIKUNDI VYA AKINAMAMA KISARAWE
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akikabidhi cherehani za umeme kwa vikundi viwili vya akinamama wa Kata ya Kazimzumbwi ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa wakati wa Kampeni ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Kisarawe, inayolenga kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia viwanda vidogo na vya kati. Na.Alex Sonna- Kisarawe…