BENKI YA CRDB YASHIRIKIANA NA KIDS’ HOLIDAY FESTIVAL KUKUZA ELIMU YA FEDHA KWA WATOTO

 Sambamba na udhamini huo, Benki ya CRDB itatoa ufadhili wa masomo kwa washindi wanne watakaopatikana katika matamasha mawili yatakayofanyika tarehe 20 Desemba 2025 jijini Dar es Salaam na tarehe 27 Desemba 2025 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kids’ Holiday Festival, Geraldine Mashele. Kupitia ushirikiano huu, Benki ya…

Read More

Dk Mwigulu akomaa na watendaji wasiotatua kero za wananchi

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza watendaji wa Serikali kuzishughulikia kwa wakati changamoto zote zinazowasilishwa na wananchi badala ya kuwapiga danadana. Dk Mwigulu ametoa kauli hiyo leo, Alhamisi Desemba 18,2025 wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uyole, jijini Mbeya katika ziara yake kikazi, akitokea mkoani Songwe. “Umezuka…

Read More

Wahitimu UBA wahimizwa kuimarisha ujuzi wa kidijitali

Kigoma. Wahitimu na wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini wanaosoma fani ya uandishi wa habari, wameshauriwa kuongeza ujuzi wao katika masuala ya kidijitali, ikiwemo matumizi sahihi ya akili mnemba (AI), ili kuepusha matumizi mabaya ya teknolojia yanayoweza kupotosha umma. Rai hiyo imetolewa leo Alhamisi, Desemba 18, 2025 na Mkuu wa Maudhui ya Mtandaoni wa Azam Media,…

Read More

Latra: Nauli ya Sh1,000 za mwendokasi ni za mpito

Dar es Salaam. Wakati wananchi wakilalamika upandaji wa nauli ya usafiri wa mwendokasi kutoka Sh750 hadi Sh1,000, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imeeleza nauli hiyo ni ya mpito na halisi zitatumika baada ya uwasilishaji wa maombi ya nauli mpya. Mradi huo ambao unatekelezwa kwa awamu sita, mpaka sasa awamu ya mbili zimekamilika na kuanza…

Read More

Kariakoo ‘imechangamka’ | Mwananchi

Dar es Salaam. Haijalishi ni asubuhi, mchana au jioni, Kariakoo kwa misemo ya mtaani ‘imechangamka.’ Kila hatua ni msukumo, kila pumzi ni ushindani wa kutafuta nafasi ya kupita au kupenya ili kufanikisha lile lililokufikisha hapo. Si msongamano wa kawaida, ni umati unaosaka mahitaji muhimu ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka na matarajio ya mwaka mpya….

Read More

Ukosefu wa vyoo watesa makanisa, ofisi za vijiji Maswa

Maswa. Baadhi ya makanisa pamoja na ofisi za watendaji wa vijiji katika Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, zinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa vyoo, hali inayohatarisha afya za wananchi na usalama wa mazingira ya jamii. Tatizo hili limezua hofu ya kuibuka kwa milipuko ya magonjwa, ikiwemo kipindupindu, hasa wakati huu taifa likielekea katika msimu wa…

Read More

Mkakati kuwezesha biashara mitandaoni waja

Dar es Salaam. Serikali iko kwenye mkakati wa usimamiaji wa biashara mtandaoni ikiwa ni moja ya njia inayolenga kuleta mageuzi ya biashara kidijitali. Makakati huo unaandaliwa ili kuendana na kasi ya ukuaji wa maendeleo ya teknolojia ambayo yamechochea kuibuka na kukua kwa biashara mtandao. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Desemba 18, 2025 na Waziri wa Viwanda…

Read More