Sebo, Abdulmalik wanukia Singida Black Stars
WAKATI uongozi wa Singida Black Stars ukitafuta beki mwingine wa kati, majina ya nyota wawili yamewekwa mezani, ambayo ni Abdallah Kheri ‘Sebo’, anayeichezea kwa sasa Pamba Jiji kwa mkopo akitokea Azam na Abdulmalik Zakaria wa Mashujaa. Mabosi wa Singida wanapambana kuongeza beki mwingine wa kati, baada ya kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi kumtumia zaidi…