Watafiti wasisitizwa kukusanya taarifa sahihi kupata matokeo halisi

Unguja. Watafiti na wasaidizi wa kisheria wametakiwa kuhakikisha wanakusanya taarifa sahihi ili kupata matokeo halisi yatakayosaidia kuboresha utekelezaji wa haki za binadamu nchini. Hayo yameelezwa leo Alhamis Desemba 18, 2025 na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Kisheria Zanzibar (ZLSC), Felista Mauya wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watafiti watakaoshiriki katika utafiti wa hali…

Read More

Mapato ya utalii yaongezeka kwa asilimia sita Serengeti

Serengeti. Hali ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imezidi kuimarika, huku mapato yake yakiongezeka kwa asilimia sita katika kipindi cha Oktoba mosi 2025 hadi Desemba 14, 2025. Mapato hayo ya utalii yamefikia Sh49.2 bilioni ikilinganishwa na Sh46.4 bilioni zilizokusanywa katika kipindi kama hicho mwaka jana. Hayo yameelezwa leo Alhamisi, Desemba 18, 2025, na…

Read More

Haya ndio matarajio mkutano wa kimataifa wa tiba asilia

Dar es Salaam. Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu tiba asilia, unaoandaliwa kwa ushirikiano na Serikali ya India, unatarajiwa kutangaza mipango ya kisayansi na ahadi mpya zinazolenga kuharakisha utekelezaji wa Mkakati wa Kimataifa wa WHO wa Tiba Asilia wa mwaka 2025–2034. Mkakati huo unazingatia kuimarisha ushahidi wa kisayansi, kuboresha…

Read More