Mpwa Wangu Aliuawa Katikati ya Migogoro ya Ardhi ya Mexico. Dunia Lazima Iwajibishe Mashirika – Masuala ya Ulimwenguni

Claudia Ignacio Álvarez akiwa San Lorenzo de Azqueltan, Jalisco, Meksiko. Credit : Eber Huitzil Maoni na Claudia Ignacio Álvarez (michoacÁn, mexico) Alhamisi, Desemba 18, 2025 Inter Press Service MICHOACÁN, Meksiko, Desemba 18 (IPS) – Mpwa wangu Roxana Valentín Cárdenas alikuwa na umri wa miaka 21 alipouawa. Alikuwa mwanamke wa Asili wa Purépecha kutoka San Andrés…

Read More

Mfumo wamng’oa Mfaransa Mlandege  | Mwanaspoti

MLANDEGE ilimsajili kwa mbwembwe, Mshambuliaji Mfaransa, Enzo Claude Sauvage, lakini jamaa hakuanza katika mechi tisa za Ligi Kuu Zanzibar msimu huu kati ya 13 ilizocheza timu hiyo na siri imefichuka kuwa, mfumo ndio uliomfanya kukosa nafasi na kuondolewa mazima kikosini. Mshambuliaji huyo aliyewahi kucheza Wolverhampton Wanderers ya England upande wa vijana kuanzia mwaka 2017 hadi…

Read More

SOKO LA KARIAKOO MBIONI KUFUNGULIWA

Shirika la Masoko ya Kariakoo limekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa makundi mbalimbali ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo kwa lengo la kuwasikiliza na kuwapa mrejesho wa namna shirika hilo lilivyoshugulikia maoni na changamoto za wafanyabiashara ikiwa ni maandalizi ya kufungua soko hilo Januari, 2026. Akiongea na wafanyabiashara hao, Meneja Mkuu wa shirika hilo…

Read More

Mapito ya mradi wa mwendokasi 2025

Imepita miaka tisa  sasa tangu mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), uanze kufanya kazi ambapo kwa mwaka huu 2025 umepitia tamu na chungu ikiwamo vituo vyake kuharibiwa kwa nyakati tofauti lakini pia kufunguliwa kwa awamu yake ya pili. Mradi huo ambao unatekelezwa kwa awamu sita, mpaka sasa awamu mbili zimekamilika na kuanza kutoa huduma ikiwamo…

Read More

ACT yasema utulivu uliopo ni wanachama kuwatii viongozi wao

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema utulivu uliopo nchini ni matokeo ya utii wa wanachama wa chama hicho kwa viongozi wao.  Mwenyekiti huyo amesema hayo jana Jumatano Desemba 17, 2025  akiwa kwenye ziara Kijiji cha Makangale, Mkoa wa Kaskazini  Pemba, ziara hiyo ina lengo kutoa shukurani kwa wazee na wananchi…

Read More