Mahakama itakavyoamua hatima shauri la kupinga Tume ya Rais leo
Dar es Salaam. Hatima ya shauri la kupinga uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 itajulikana leo Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam itakapotoa uamuzi shauri la maombi ya kibali cha kupinga tume hiyo. Katika uamuzi huo utakaotolewa na Jaji Hussein…