Mbaroni kwa tuhuma za kuteka lori la mizigo

Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mtu mmoja kati ya watuhumiwa sita wanaodaiwa kulivamia lori la mizigo lililokuwa likitoka Afrika Kusini kuelekea mkoani Arusha, baada ya tukio lililotokea katika moja ya pori mkoani humo. Mtuhumiwa huyo anaendelea kupatiwa matibabu, kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wa majibizano ya risasi kati ya majambazi hao na Jeshi…

Read More

Abiria SGR walalamika kusafiri wima, TRC yafafanua

Dar es Salaam. Mmoja wa abiria aliyesafiri kwa treni ya kisasa ya SGR kutoka Dodoma hadi Dar es Salaam, na siku iliyofuata kurejea kwa usafiri huo, amesimulia adha walizokumbana nazo abiria, ikiwamo kusafiri wakiwa wamesimama, huku wengine wakilazimika kukaa sakafuni kutokana na msongamano wa abiria ndani ya treni. Abiria huyo, Livingistoni Ruhere, kwanza alitoa simulizi…

Read More

IDRAS KUONGEZA UFANISI WA UTENDAJI KAZI WA TRA

Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Mapato ya Ndani (IDRAS) uliojengwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unatarajiwa kuongeza ufanisi wa utendaji kazi ndani ya Mamlaka hiyo pindi utakapoanza kutumika. Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda akizungumza na wataalam wa ndani ya TRA walioshiriki kujenga mfumo huo tarehe 29.12.2025 jijini Dar es Salaam amesema…

Read More

MAFUNZO UFUATILIAJI, TATHMINI KUONGEZA TIJA UTEKELEZAJI WA MIPANGO YA WIZARA

Na Augustina Makoye, WMJJWM – Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Daktari Hango amesema mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini yatawasaidia Maafisa viungo wa ufuatiliaji na tathmini kuelewa kwa kina dhana, taratibu na majukumu ya Ufuatiliaji na Tathmini. Hango ameyasema hayo akifungua mafunzo ya…

Read More

Ruksa ACT-Wazalendo kupinga uteuzi wabunge viti maalumu

Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma, imeridhia maombi ya Chama cha ACT–Wazalendo ya kufungua shauri la mapitio ya kimahakama kupinga uteuzi wa wabunge wa viti maalumu uliofanywa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Uamuzi huo umetokana na shauri lililofunguliwa na Wadhamini Waliosajiliwa wa ACT–Wazalendo dhidi ya INEC na Mwanasheria…

Read More

Tusua Kibabe na Meridianbet Mechi za Leo

JE unajua kuwa leo hii unaweza ukaondoka na mkwanja mrefu sana ukibashiri na Meridianbet mechi zote zinazoendelea?. Nafasi ndio hii leo ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi sasa. Ligi kuu ya Uingereza EPL, itaendelea ambapo Newcastle United atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Burnley ambao msimu huu mpaka sasa wana pointi 10 pekee…

Read More

Karabaka bado Haamini mabao | Mwanaspoti

KIUNGO wa JKT Tanzania, Saleh Karabaka amesema japo msimu huu anataka kufunga mabao mengi ikiwezekana 20, lakini bado haamini kilichomtokea hadi sasa kwani tangu aanze kucheza Ligi Kuu ndiyo mara ya kwanza kufikisha mabao manne. Kucheza Ligi Kuu Bara msimu wake wa kwanza ilikuwa baada ya kujiunga na Simba 2023/24 akitokea JKU ya Zanzibar, hivyo…

Read More

Meridianbet Yaileta iMoon, Mahali Ambapo Maamuzi Yanalipa

MERIDIANBET haijaja tu na michezo mipya, bali imefungua mlango wa ulimwengu mpya wa burudani ya kasino mtandaoni kwa kumtambulisha iMoon, jukwaa linalobadilisha kabisa maana ya ushindi. Katika zama hizi za kidijitali, wachezaji wanataka hisia, kasi na maamuzi yanayoweza kubadili hatima kwa sekunde chache. iMoon imezaliwa kutoka falsafa hiyo, na sasa inapatikana rasmi ndani ya Meridianbet….

Read More