Waziri Mchengerwa auongoza ujumbe wa Tanzania kwenye uzinduzi wa mkutano wa pili wa Dunia wa Tiba Asili

Na John Mapepele, New Delhi Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa leo ameuongoza ujumbe  wa Serikali ya Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa pili wa dunia wa Tiba Asili unaoratibiwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye ukumbi wa kimataifa wa  Bharat Mandapam jijini New Delhi  India. Mhe. Mchengerwa  amepongeza  juhudi  zinazofanywa na  WHO…

Read More

JAFO ATOA WITO WA MAOMBI KWA RAIS SAMIA KISARAWE

    Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza  na Wajumbe wa  Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kisarawe,kikao kilicholenga kuwashukuru wajumbe kwa mchango wao katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuwashukuru kwa kuchaguliwa tena kuwa Mbunge wa jimbo hilo. Na.Alex Sonna-KISARAWE MBUNGE…

Read More

Mwanahabari Arusha afariki dunia | Mwananchi

Arusha. Tasnia ya habari Mkoa wa Arusha imepata pigo baada ya mwanahabari mkongwe, Neema Mhando (53) kufariki dunia leo Jumatano, Desemba 17, 2025 nyumbani kwa wazazi wake eneo la Daraja Mbili jijini Arusha. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Ofisa Habari wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Ally Nyambi kwa waandishi wa habari akisema Ofisi…

Read More

Taasisi 137 yaiwezesha Nida kutwaa tuzo

Dar es Salaam. Wakati Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ikitwaa Tuzo ya Ubunifu katika Utawala wa Umma 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji wa Zanzibar, Khamis Suleiman Mwalim amezitaka taasisi za umma wasibweteke bali waongeze bidii katika kubuni vitu vitakavyorahisisha utoaji huduma kwa wananchi. Mwalimu amesema hayo jana Jumanne, Desemba…

Read More