Kuongezeka kwa uhasama huleta uhamishaji mpya, majeruhi zaidi – Masuala ya Ulimwenguni

Uhasama umekuwa ukiongezeka kati ya Vikosi vya Wanajeshi wa Sudan (SAF) na makundi mawili yenye silaha – wanamgambo hasimu wa Rapid Support Forces (RSF) ambao wamekuwa wakipambana na serikali ya kijeshi kutaka kudhibiti tangu Aprili 2023 na Sudan People’s Liberation Movement-North. Mwishoni mwa wiki, mashambulizi ya ndege zisizo na rubani zikilengwa kambi ya Umoja wa…

Read More

Wakunga, wauguzi waonywa udanganyifu wa mtihani

Dodoma. Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limeonya vikali dhidi ya udanganyifu wa aina yoyote wakati wa mtihani wa kada ya uuguzi na ukunga utakaofanyika Desemba 29, 2025. Jumla ya watahiniwa 4,414 katika wanatarajia kufanya mtihani huo wa umahiri. Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga, Agnes Mtawa amesema mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo…

Read More

Wataalam sekta ya ardhi waoneshwa fursa Dira 2050

Dar es Salaam. Washauri wabobezi, wanataaluma na walimu wastaafu katika sekta ya nyumba, ardhi na makazi wameelezwa watahitajika zaidi kuelekea utekezaji wa Dira 2050 na kutakiwa kujiandaa kwa hilo kuanzia sasa. Hayo yamesemwa leo Jumatano Desemba 17, 2025 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dk Tausi Kida kwenye mkutano wa umoja wa…

Read More

Mahakama Kuu yakataa shauri la kufutwa sherehe za Uhuru

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, imetupilia mbali shauri la maombi ya kibali cha kupinga uamuzi wa kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 2025, lililofunguliwa na wakili Peter Madeleka. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Juliana Masabo, leo, Jumatano, Desemba 17, 2025, baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi la awali…

Read More

Majibu ya upotoshaji kuhusu maendeleo ya Tanzania

Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uswidi, Benjamin Dousa, tarehe 5 Desemba, alitangaza uamuzi wa Serikali ya Uswidi kufuta misaada kwa nchi tano za Tanzania, Msumbiji, Zimbabwe, Liberia na Bolivia baada ya kupitia vipaumbele vya kisera na changamoto za kiusalama. Hata hivyo, wakati akitoa tangazo hilo, alizisakama nchi hizo kwamba zimekwama katika ujamaa…

Read More

Wakulima ‘wang’atwa sikio’ uzingatiaji kilimo cha kisasa

Moshi. Imeelezwa kuwa uzingatiaji wa matumizi ya sayansi na teknolojia za kisasa katika kilimo utawasaidia wakulima nchini kupata mazao bora, kuongeza tija na hatimaye kuchochea mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Desemba 17, 2025 na Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Zebadiah…

Read More

150 wakamatwa Kigoma wakikimbia machafuko DRC

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema idadi ya wahamiaji wanaokimbia machafuko katika mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imeongezeka na kufikia watu 202. Kauli hiyo inakuja siku moja baada ya ripoti kuonesha waasi wa M23, waliokuwa wakipambana na Jeshi la DRC, wameachia mji wa…

Read More

Watoto wawili wateketea moto, wazazi walazwa

Moshi.  Watoto wawili, Geriel Shayo  (4) na Leon Shayo (2), wamefariki dunia baada ya moto kuteketeza nyumba waliyokuwa wakiishi, huku wazazi wao wakilazwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) wakipatiwa matibabu baada ya kupata mshituko kufuatia tukio hilo. Tukio hilo limetokea leo Jumatano, Desemba 17, 2025, eneo la Katanini, Kata ya Karanga, Manispaa…

Read More

Profesa Shemdoe aitwisha zigo Tahosa udhibiti matukio shuleni

Arusha. Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amewaagiza wakuu wa shule za sekondari nchini kuendelea kusimamia nidhamu na kudhibiti utoro wa wanafunzi na walimu shuleni, hatua inayolenga kuinua ubora wa ufundishaji na ujifunzaji. Ametoa maagizo hayo leo Jumatano, Desemba 17, 2025, wakati akifungua Mkutano wa 20 wa Umoja…

Read More

Profesa Shemdoe aitwisha zigo Tahosa udhibiti matukio shuleni

Arusha. Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amewaagiza wakuu wa shule za sekondari nchini kuendelea kusimamia nidhamu na kudhibiti utoro wa wanafunzi na walimu shuleni, hatua inayolenga kuinua ubora wa ufundishaji na ujifunzaji. Ametoa maagizo hayo leo Jumatano, Desemba 17, 2025, wakati akifungua Mkutano wa 20 wa Umoja…

Read More