Mikopo kwa wanawake yatafutiwa suluhisho
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya wanawake wakilalamikia kukumbwa na vikwazo katika upataji mikopo kupitia majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi, Serikali imepanga kushirikiana na asasi za kiraia na wadau wengine wa sekta binafsi kuhakikisha kundi hilo linatimiza vigezo na hatimaye kupata mikopo. Kwa mujibu wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu,…