Serikali yaiita sekta binafsi biashara ya kaboni

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeitaka sekta binafsi kujitokeza kwa wingi kuwekeza na kushiriki katika biashara ya kaboni, ikieleza fursa zilizopo katika sekta hiyo zinaweza kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza mapato ya nchi na kuchangia juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha sekta binafsi inakuwa mshirika muhimu katika safari ya…

Read More

Msuva, Samatta wainogesha Stars kambini

KAMBI ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyopo Misri imeizidi kunoga baada ya kuwasili kwa mastaa wakubwa wa timu hiyo inayojiandaa kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 inayoanza Jumapili. Simon Msuva anayekipiga Iraq ametua jana Jumatano, akiwa ametanguliwa na Novatus Dismas na nahodha Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya Le Havre…

Read More

WIZARA YA FEDHA YAITA WADAU KUTOA MAONI YA KUBORESHA MWONGOZO WA USIMAMIZI WA MALI ZA SERIKALI

………………. Na. Saidina Msangi na Silya kombe, WF, Dodoma. Wizara ya Fedha imetoa rai kwa wadau kutoa maoni yatakayowezesha kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Usimamizi wa Mali za Umma wa mwaka 2025 utakaosaidia kusimamia mali zilizo kwenye Taasisi za Umma  kwa tija na ufanisi zaidi ili kuimarisha na kuboresha huduma zinazotolewa na Serikali kupitia mali hizo. Rai…

Read More

Maofisa habari serikalini wapewa jukumu maalumu

Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka amewataka maofisa habari wa Serikali, kujipanga kukabiliana na matumizi hasi ya teknolojia ya habari na mawasiliano, ukiwemo upotoshwaji unaofanyika dhidi ya nchi. Balozi Kusiluka amesema Tanzania imeshuhudia namna teknolojia ya habari na mawasiliano inavyoweza kutumiwa na maadui kuhataratisha usalama wa nchi. Ametoa kauli hiyo leo, Jumatano…

Read More

Baba Levo, AG wakwama kesi ya ubunge Kigoma

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Kigoma, umeipa uhalali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, hivyo kuingia katika hatua muhimu ya usikilizwaji wa hoja za msingi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kwa kushirikiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando, maarufu Baba Levo, wamekumbana na kikwazo katika jitihada…

Read More