KILIMANJARO YATENGEWA BILIONI 63 KWA AJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA.
MOSHI. SERIKALI imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 63 kwa ajili ya matengenezo na ukarabati wa miundombinu ya barabara mbalimbali ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro kwa mwaka wa fedha 2025/2026, hatua inayolenga kuboresha usafiri na kuchochea shughuli za kiuchumi katika mkoa huo. Akizungumza wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Kilimanjaro kilichofanyika katika ukumbi…