Tamko la kihistoria la ugonjwa na afya ya akili, njaa ya Afghanistan inazidi, mzozo wa wakimbizi wa DR Congo – Masuala ya Ulimwenguni

Makubaliano hayo yanaashiria mara ya kwanza kwa serikali kujitolea kushughulikia magonjwa sugu – kama vile ugonjwa wa moyo, saratani na kisukari – pamoja na afya ya akili, kwa kutambua ongezeko lao la maisha na uchumi duniani kote. Futa malengo ya 2030 Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ni miongoni mwa visababishi vikuu vya vifo duniani kote, huku…

Read More

Gamondi aivimbia Nigeria AFCON 2025

KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, amesema hana hofu wala presha na safu ya ushambuliaji ya Nigeria inayoongozwa na nyota wa Galatasaray, Victor Osimhen kwa kueleza anaijenga timu hiyo kwa mfumo na mkakati unaoweza kuhimili presha ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Taifa Stars iliyopangwa Kundi C, itatupa karata yake ya…

Read More

Ishu ya kocha mpya, Simba yarudi tena mezani

SIMBA inakaribia kumaliza mchakato wa kumpata kocha mpya wa kuiongoza timu hiyo baada ya Desemba 2, 2025 kuachana na Dimitar Pantev kwa makubaliano ya pande mbili. Katika mchakato huo wa kusaka kocha, Simba ilikuwa kwenye mazungumzo na Mohamed Sahli raia wa Tunisia ambaye Mwanaspoti linafahamu upande wa bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo ilimtafuta wakitaka…

Read More

Sowah, Kante wafungiwa mechi tano, Yanga yatozwa faini

MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah na kiungo wa timu hiyo, Allasane Kante, wamefungiwa kucheza mechi tano kila mmoja kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu waliyofanya dhidi ya Azam FC, Desemba 7, mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo Desemba 16, 2025, imeeleza kuwa Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa…

Read More

Giza latanda ACT Wazalendo kuingia SUK

Dar es Salaam.  Siku zinaendelea kuyoyoma, huku ukimya ukitawala kuhusu hatima ya Chama cha ACT – Wazalendo, kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK). Hali iko hivyo, wakati Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameacha nafasi nne za uwaziri zinazopaswa kujazwa na ACT – Wazalendo, chama kilichoshika nafasi ya pili kwa kura za…

Read More

Milima, mabonde ya siasa za Tanzania mwaka 2025

Dar es Salaam. Mwaka 2025 uko karibu kufikia ukingoni. Unaweza kuwa miongoni mwa miaka iliyobeba mitihani zaidi katika mawanda ya kisiasa nchini. Ndani ya mwaka huo, kumeshuhudiwa mtikisiko mkubwa wa kisiasa, athari katika mshikamano wa Taifa, mambo yaliyoibua hoja ya haja ya upatanishi wa kitaifa. Lakini, mwaka huo huo kwa upande mwingine, umekuwa na fursa…

Read More