Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000
Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000 – Global Publishers Home Michezo Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000
Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000 – Global Publishers Home Michezo Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000
Inawasilisha sasisho za mdomo kwa makao makuu ya Geneva Baraza la Haki za BinadamuKamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu Volker Türk alisema hali nchini Venezuela haijaimarika tangu mkutano wake wa mwisho mwezi Juni. “Ukandamizaji dhidi ya maeneo ya kiraia umezidi, na kukandamiza uhuru wa watu,” Bw. Türk alisemaakizungumzia kuwekwa kizuizini kiholela na kutoweka kwa lazima,…
Tunduma/Dar. Kiini cha msongamano wa magari unaoukabili mpaka wa Tunduma mkoani Songwe ni zaidi ya wembamba wa barabara. Yapo mengi yanayohusishwa na hali hiyo, vikiwemo vitendo vya rushwa. Sambamba na rushwa, wamiliki binafsi wa maegesho ya magari wameingia lawamani, wakitajwa kushiriki mchezo wa kusababisha msongamano huo ili kutengeneza mazingira ya kujiingizia kipato. Wakati hali ikielezwa…
Baadhi ya majengo 25 yanakabiliwa na ubomoaji kuanzia tarehe 18 Disemba, na kuathiri mamia ya Wapalestina waliolazimika kuyahama makazi yao, Mkurugenzi wa UNRWA Masuala ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa, Roland Friedrich, alisema Jumanne katika taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii. Zaidi ya hayo, picha za satelaiti zinaonyesha kuwa karibu nusu ya majengo yote katika kambi,…
Wakimbizi wa Sahrawi wakitembea karibu na Kambi ya Wakimbizi ya Awserd katika Mkoa wa Tindouf nchini Algeria. Credit: UN Photo/Evan Schneider na Umar Manzoor Shah (Srinagar, india) Jumanne, Desemba 16, 2025 Inter Press Service SRINAGAR, India, Desemba 16 (IPS) – Mfumo wa wakimbizi duniani unaingia katika kipindi cha matatizo makubwa. Utoaji wa ulinzi na usaidizi…
::::: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mnamo Disemba 16, 2025, imekamata shehena kubwa ya mafuta ya kupikia ya magendo, jumla ya madumu 18,000 yaliyokuwa yakiingizwa nchini kinyume na taratibu za kiforodha kupitia Bandari ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam. Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Yusuph Juma Mwenda, alizungumza mara baada ya zoezi hilo na kueleza…
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuwashukuru kwa kuchaguliwa tena kuwa Mbunge wa jimbo hilo pamoja na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya. Na.Alex Sonna-,Kisarawe MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuanza kutolewa…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jonathan Sowah na kiungo wa timu hiyo, Allasane Kante, wamefungiwa kucheza mechi tano kila mmoja kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu waliyofanya dhidi ya Azam FC, Desemba 7, mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo Desemba 16, 2025, imeeleza kuwa Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa…
Akitoa taarifa katika mkutano wa kila siku wa mchana, Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq aliwaambia waandishi wa habari kwamba ‘helmeti za bluu’ ziliuawa, na wengine tisa kujeruhiwa Jumamosi wakati. UNISFAmsingi wa vifaa ulilengwa katika kile Misheni ilielezea kama “shambulio la kutisha la ndege zisizo na rubani.” Haijulikani kwa wakati huu ni nani…
Na Mwandishi Wetu, WMTH-Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), tarehe 15 Disemba 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Ofisi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya ziara za kutembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake. Akizungumza wakati wa ziara hiyo,…