
MWANAISHA MNDEME AJITOSA RASMI KUGOMBEA UBUNGE KIGAMBONI KUPITIA ACT-WAZALENDO
Wakili na mwanaharakati wa haki za kijamii, Mwanaisha Mndeme, leo ameonesha dhamira yake ya kuwatumikia wananchi wa Kigamboni kwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Zoezi hilo limefanyika katika ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na kushuhudiwa na wafuasi wake waliokusanyika kwa hamasa kubwa kuonyesha mshikamano na matumaini…