Dk Chaya aahidi maboresho ya miundombinu akizisaka kura
Dodoma. Mgombea ubunge wa Jimbo la Manyoni, Dk Pius Chaya (CCM) amewaahidi wananchi endapo atachaguliwa kwa mara nyingine, anakwenda kuongeza kasi ya kufungua barabara jimboni humo. Dk Chaya alitoa ahadi hiyo jana Jumatano Septemba 17,2025 katika vijiji vya Kata ya Isseke wilayani Manyoni. Mgombea huyo ameitaja barabara ya Mangoli -Igwamadete, Iseke -Ipanduka hadi Ntumbi, Simbanguru-Mafurungu…