Kinapigwa leo Dabi ya Wanajeshi Lgi Kuu Bara

LIGI Kuu Bara inaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa, huku mechi ya mapema ikiwa ni saa 8:00 mchana kati ya Fountain Gate itakayoikaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, lakini pia kuna Dabi ya Wanajeshi, Mashujaa dhidi ya JKT Tanzania. Fountain Gate inaingia katika mchezo huo ikiwa ni timu ambayo…

Read More

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Manyara Yakabidhiwa Gari

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Mkoa wa Manyara imefanikiwa kupata gari mpya ambayo itasaidia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila sikukwa wakati. Akizungumza mara baada ya kukabidhi gari hiyo aina ya Toyota Hilux Jijini Dodoma, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo amesema kuwa uwepo wa gari hiyoutasaidia utekelezaji wa…

Read More

Jamhuri kujibu pingamizi lingine la Lissu leo

Dar es Salaam. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema)Tundu Lissu, itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Kesi hiyo inayosikilizwa na jopo la majaji watatu, Dunstan Ndunguru (kiongozi wa jopo) James Karayemaha na Ferdnand Kiwonde, itaendelea leo Septemba 18, 2025 kwa upande wa Jamhuri kujibu hoja…

Read More

Mambo 10 Dabi ya Kariakoo, tatizo ni Diara!

DABI ya kwanza ya Kariakoo msimu huu imemalizika kibabe baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, juzi Jumanne. Ushindi huo umeifanya Yanga, kuendeleza ubabe mbele ya Simba, ikishinda mchezo wa sita mfululizo dhidi ya watani wao hao, rekodi ambayo itaendelea kuwafanya Wekundu kuumizwa na maumivu mithili ya kidonda kisichopona. Hata…

Read More

FIFA yaweka mamilioni Simba, Yanga

SIMBA, Yanga, Azam na klabu nyingine chache za Ligi Kuu Tanzania Bara, zitakuwa miongoni wa wanufaika wa kupata fidia ya fedha kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) kwa kuruhusu wachezaji wao kuzitumikia timu mbalimbali za Taifa katika mechi za kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026. Mgawo huo wa fedha ni…

Read More