NAIBU KATIBU MKUU ZUHURA ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 MBEYA
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Mkoa wa Mbeya wakati wa ziara yake Septemba 17, 2025 ya kukagua maandalizi ya Wiki ya Vijana Kitaifa na shughuli za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika jijini Mbeya. Na; Mwandishi…