KIGODA CHA MWALIMU NYERERE KUONGOZA KONGAMANO LA UCHUMI JUMUISHI
Zaidi ya wadau 500 wanatarajiwa kushiriki katika kongamano la Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere litakalofanyika Septemba 18, 2025 kuanzia saa tano asubuhi katika ukumbi wa Nkurumah Lecture Theater, Chuo Kikuu cha Mzumbe – Ndaki ya Mbeya. Kongamano hilo limeandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu…