Madereva mkao wa kula mbio za Magari Afrika, Kabudi mgeni rasmi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamaganda Kabudi ndiye atazindua Mbio za Magari za Ubingwa wa Afrika 2025 ‘Mkwawa Rally of Tanzania’ keshokutwa Ijumaa, Septemba 19, 2025 mkoani Morogoro. Ofisa Habari wa Mashindano ya Magari Tanzania, Michael Maluwe amesema kuwa maandalizi yote muhimu kwa tukio hilo la uzinduzi yameshakamilika. “Madereva wameanza kuwasili Morogoro kwa…