Mmoja Auawa Kwa Kisu Kisa Simba, Yanga – Global Publishers
Last updated Sep 17, 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha mauaji yaliyotokea Septemba 16, 2025 saa 12:50 jioni Kitongoji cha Ululu, Idiwili – Mbozi. Evaristo Zabroni Mwambogolo (28) alichomwa kisu kifuani na Exavery Jamsoni Mwaweza baada ya mabishano ya mpira wa miguu kati ya mashabiki wa Simba na Yanga….