Kila familia ya Gen Z waliofariki Nepal kulipwa Sh42 milioni na Serikali
Serikali ya Nepal imetangaza kutoa rupia 1.5 milioni (Sh42 milioni) kwa ajili ya fidia kwa familia za wafiwa waliofariki katika maandamano ya GenZ yaliotokea nchini humo wiki chache zilizopita. Fidia hiyo inakuja kufuatia vifo 72 vilivyotokea katika maandamano yaliozuka Septemba 7, 2025 kutokana na marufuku ya mitandao ya kijamii, ufisadi wa baadhi ya viongozi na…