Uzuri wa Tanzania Kupitia Sanaa, Vivo Energy Yazindua mashindano ya Awamu ya pili kwa shule za Sekondari na Vyuo nchini
Katibu Mtendaji, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana katikati akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Jangwani wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Sanaa ya Uchoraji kuelezea uzuri wa Tanzania, uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam Septemba 16, 2025. Wnafunzi wa shule ya Sekondari Jangwani wakionesha utaalamu wao katika kuelezea uzuri…