KLABU BINGWA YA TAIFA 2025 KUANZA LEO TANGA
▫️Jumla ya mapambano 21 kupigwa jioni ya leo ▫️Vilabu 15 kushiriki MASHINDANO ya ngumi ya Klabu Bingwa ya Taifa yanatarajia kuanza rasmi jioni ya leo katika uwanja wa michezo wa Urithi, Jijini Tanga. Jumla ya vilabu 15 kutoka mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Kagera, Arusha, Iringa na Dodoma vinashiriki mashindano hayo vikiwa na jumla…