Wizara ya Madini yafikia asilimia 98 lengo la ukusanyaji mapato
Geita. Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko amesema mageuzi ya teknolojia na usimamizi madhubuti katika sekta ya madini, yameiwezesha serikali kukusanya sh3.8 trilioni katika kipindi cha miaka minne, sawa na asilimia 96 ya lengo la Wizara ya Madini. Akizungumza wakati wa kufunga monyesho ya nane ya kitaifa ya teknolojia ya madini Dk Biteko amesema mabadiliko hayo…