2025
Fyatu anavyozoea viti vyote chatani na kayani
Kama Mafyatu na wasomaji wangu wote wajuavyo, hiki ni kipindi cha uchakachuaji, sorry, uchafuzi, sorry, uchaguzi. Mbali ya kuwa msimu wa kufyatuana na kufyatuliwa, ni msimu wa kutumia akili vilivyo. Ni msimu wa kusukuti namna ya kufyatuana mkenge. Wakati mwingine inabidi ujitoe ufahamu ili kuwanasa mafyatu ambao unaweza kuwashtaki kwa kujitoa ufahamu kutaka kufahamu mambo…
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA KAWE KUREJEA KAZINI HARAKA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza leo Septemba 16, 2025, wakati wa ziara yake ya kukagua athari za moto uliotokea alfajiri ya Septemba 15 katika soko la Kawe. … SERIKALI imetenga shilingi milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa soko la muda kwa wafanyabiashara waliokumbwa na janga la moto katika soko la…
‘Kuongozwa na Sayansi, United in Action’ – Maswala ya Ulimwenguni
Karne iliyopita, wanasayansi walithibitisha ukweli wa kutisha wa upungufu mkubwa katika safu ya ozoni – ngao isiyoonekana ya gesi ambayo inazunguka Dunia na inalinda kutokana na mionzi ya jua ya UV. Mkusanyiko wa vitu vya kupungua kwa ozoni ni pamoja na CFCs, au chlorofluorocarbons, ambayo katikati ya miaka ya 1980 vilipatikana kawaida katika bidhaa za…
Rasmi mzigo umerudi | Mwanaspoti
ZIMEPITA siku 83 tangu kumalizika kwa msimu uliopita wa Ligi Kuu na leo mzigo umerudi upya ikiwa ni saa 24 baada ya kupigwa kwa mechi ya Ngao ya Jamii iliyozikutanisha Simba na Yanga. Msimu uliopita ligi ilifungwa na pambano la Dabi ya Kariakoo iliyopigwa Juni 25 na leo inaanza kwa mechi mbili zitakazopigwa jijini Dar…
Mbele ya Wiki ya Mkutano Mkuu wa hali ya juu, Guterres anawasihi viongozi wa ulimwengu ‘kupata uzito-na kutoa’-maswala ya ulimwengu
Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya UN Jumanne huko New York, alionya kwamba mgawanyiko wa ulimwengu, mizozo na machafuko yameacha kanuni ya ushirikiano wa kimataifa kwa hatua yake dhaifu katika miongo. “Wengine huiita Kombe la Dunia la diplomasia,” Bwana Guterres alisema. “Lakini Hii haiwezi kuwa juu ya alama za kufunga…
Mariam Ibrahim Aungana na Wanawake wa Pwani Kufagia Uwanja wa Uzinduzi wa Kampeni Bagamoyo
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba 16 ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani kufagia viwanja vya Shule ya Msingi Majengo vilivyopo Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani. Hatua hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo…
Kiu na kufa na njaa, Wagazans wanakabiliwa na uhamishaji wa ‘kibinadamu’; UNICEF – Maswala ya Ulimwenguni
Maendeleo hayo yalifuatia ripoti kwamba jeshi la Israeli limepanda ardhi yake kukera katika Jiji la Gaza, na kuwaamuru wakaazi waondoke katika eneo hilo. Akizungumza kutoka kusini mwa enclave, UNICEFTess Ingram alielezea uhamishaji wa nguvu wa familia kama “tishio mbaya kwa walio hatarini zaidi”. “Ni ubinadamu kutarajia karibu nusu ya watoto milioni walioshambuliwa na kuhuzunika kwa…
UMOJA WA VINYOZI KAHAMA WAADHIMISHA SIKU YA KINYOZI DUNIANI KWA MATEMBEZI YA HISANI
Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vinyozi watoa huduma katika Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wameiadhimisha kwa kufanya matembezi ya hisani pamoja na usafi katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama. Akizungumza baada ya zoezi hilo Mwanasheria wa Manispaa hiyo Steven Magala kwa niaba ya mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Frank Nkinda amesema Serikali inatambua…
NAMUONA DK. SAMIA AKIENDA KUVUNJA REKODI ZA ASILIMIA ZA USHINDI WA RAIS
Na Said Mwishehe,Michuzi TV KAMPENI za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu zinaendelea tena kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huo. Hata Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina naye amechukua fomu,zile changamoto zake za mambo ya kisheria yaliyokuwa mahakamani yamekwisha na Septemba 13 amerudisha fomu kugombea urais. Hata hivyo…