Mpina giza nene sakata la urais Tanzania
Dar es Salaam. Ni rasmi sasa ndoto ama harakati za Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, zimefikia tamati. Hatua hiyo inatokana na Mpina, aliyewahi kuwa Mbunge wa Kisesa kwa miaka 20 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukihama chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo. Mwanasiasa…