Israel yadai kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas Gaza
Jeshi la Israel limesema limemuua kamanda mkuu wa Hamas katika shambulio lililolenga gari lililokuwa likipita kwenye Jiji la Gaza siku ya Jumamosi. katika taarifa ya pamoja ya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) na Shirika la Usalama la Shin Bet walieleza kuwa Raed Saad, aliyekuwa mkuu wa uzalishaji wa silaha wa tawi la kijeshi la…