Sheikh Ponda aomba ridhaa Temeke, akikumbushia sakata la Mtwara
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Temeke kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewaomba wakazi wa Temeke kumchagua kuwa mbunge wao ili kuweza kuwakilisha kero zao bungeni, kama alivyowahi kufanya kwa wananchi wa Mtwara wakati wa mgogoro wa gesi na mambo yakawa sawa. Sheikh Ponda amesema hayo leo Jumatatu Septemba 15 2025,…