Doyo aahidi kuja na tume kushughulikia haki za wakulima, wafugaji
Dar es Salaam. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Na-tional League for Democracy (NLD), Doyo Has-san Doyo, ameahidi kuunda tume maalumu ita-kayounda ramani ya maeneo ya wakulima na wafugaji kwa kuweka mipaka ya haki kwa pande zote. Doyo ameeleza hayo leo Jumatatu, Septemba 15, 2025, katika muendelezo wa mikutano yake…