Singida Black Stars mabingwa wapya Kagame
SINGIDA Black Stars imeweka historia kwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Cecafa Kagame kwa mara ya kwanza baada ya kuifunga Al Hilal ya Sudan mabao 2-1 katika mechi ya fainali iliyopigwa leo Septemba 15, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam. Ni Clatous Chama ambaye ameifanya Singida Black…