Mgombea urais Chaumma aendelea kusaka kura Kanda ya Ziwa
Mwanza. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimeahidi mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa kwa ujumla, endapo kitapewa ridhaa ya kuunda serikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Jumapili, Septemba 14, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza, mgombea…