Sh300 milioni za Baps kusaidia watoto wenye matatizo ya moyo
Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imepokea msaada wa Sh250 milioni kutoka Taasisi ya Baps Charities kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo na ununuzi wa vifaa tiba muhimu. Msaada huo umekabidhiwa leo Jumapili, Septemba 14, 2025, katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jijini Dar es Salaam. Uongozi…