Simba hiyooo, sasa kuivaa Nsingizini Hotspurs
SIMBA imefuzu raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya jioni ya leo kulazimishwa sare ya 1-1 na Gaborone United ya Botswana, lakini imepenya kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1. Kufuzu kwa Simba kumetokana na ushindi wa bao 1-0 ilioupata ugenini wiki iliyopita ambao kwa matokeo ya mechi ya leo iliyopigwa Kwa…