Mavunde aonya wakopaji dhidi ya mikopo umiza

Dodoma. Mgombea ubunge wa Mtumba, Anthony Mavunde amesema kukopa bila elimu ya ujasiriamali na fedha ni chanzo cha mikopo umiza. Kutokana na hilo, amewataka wananchi hasa kinamama na vijana kuacha kukopa kwa kuiga kwani watajikuta wameingia mahali penye hasara kubwa. Mavunde ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Septemba 13,2025 kwa nyakati tofauti alipokuwa kwenye ziara ya…

Read More

KABUDI AHAIDI MAENDELEO KILOSA – MICHUZI BLOG

Farida Mangube, Kilosa Morogoro Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuwachagua Rais, Mbunge na Madiwani wa CCM ili kuhakikisha kasi ya maendeleo inaongezeka kwa vitendo. Profesa Kabudi ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni za ubunge jimboni humo, akibainisha baadhi ya…

Read More

DK.SAMIA AAHIDI WANANCHI KIGOMA SERIKALI KUKAMILISHA MIRADI YOTE YA VIPANDE VYA BARABARA VILIVYOSALIA

*Aelezea pia umeme wa uhakika, kuvutia wawekezaji wa viwanda Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kigoma Serikali itahakikisha miradi yote ya barabara inayoendelea katika Mkoa wa Kigoma inakamilika ikiwemo vipande vyote vilivyosalia vya barabara kuu. Baadhi ya vipande hivyo vya…

Read More

Kidumo aahidi kukamilisha miradi ya maendeleo Njoro

Moshi. Mgombea udiwani wa Njoro, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Zuberi Kidumo amewaomba wananchi kumpa ridhaa nyingine ya kuongoza kata hiyo ili aweze kukamilisha miradi ya maendeleo iliyoanzishwa, ikiwamo ya barabara na ujenzi wa Zahanati ya Njoro. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Reli, Kidumo amesema kwa kipindi cha miaka mitano aliyohudumu kama…

Read More

Miradi 45 ya Kisayansi Kuonyeshwa Mashindano ya YST 20

SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (Young Scientists Tanzania – YST) limetangaza kuwa jumla ya miradi 45 ya kisayansi imechaguliwa kushiriki katika Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi yatakayofanyika Septemba 18, 2025 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Mwanzilishi Mwenza wa YST, Dk. Gozibert Kamugisha, alisema miradi hiyo imelenga kutoa suluhisho za kisayansi na kiteknolojia kwenye…

Read More

Macho yote kwa Vicky michuano ya NCBA

VIWANJA vya Gofu vya Muthaiga vilivyopo jijini Nairobi, Kenya ndivyo vitaamua nani anastahili kuutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki wa NCBA baada ya kutamatika kwa mashimo 18 majuma machache yajayo. Tanzania, tayari imeshapata washiriki wakiongozwa na Malkia wa Swing, Vicky Elias kutoka jijini Dar es Salaam. Vicky pamoja na Madina Idd na Neema Olomi wa Arusha…

Read More

Kocha Minziro aibukia Bigman | Mwanaspoti

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Bigman, Fredy Felix ‘Minziro’, amerejea tena kukifundisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2025-2026, wa Ligi ya Championship, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Zubery Katwila aliyejiunga na Geita Gold. Minziro aliyewahi kuzifundisha Geita Gold na Tanzania Prisons, aliifundisha Bigman msimu wa 2024-2025, ingawa aliondoka Oktoba 17, 2024 na kujiunga…

Read More

MJNUAT kutoa wahitimu wa kwanza mwakani

Butiama. Baada ya kusuasua kwa muda mrefu kuanza kutoa masomo, hatimaye Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT), kilichopo wilayani Butiama Mkoa wa Mara, kinatarajia kuwa na mahafali ya kwanza mwakani. Chuo hicho kilikaa miaka saba bila kuanza kutoa mafunzo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo ukosefu wa rasilimali fedha. Akizungumza kwenye…

Read More

SAME YAMPOKEA DKT. NCHIMBI

 :::::::::: MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewasili Wilaya ya Same kuwahutubia Wananchi wa jimbo la Same Magharibi kwenye mkutano wake mdogo,leo Jumapili Septemba 14,2025 mkoani Kilimanjaro. Dkt.Nchimbi ambae ni mgombea mwenza wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan…

Read More