Kocha CBE asepa na somo CECAFA
KOCHA wa CBE, Birhanu Gizaw amesema msimu huu haukuwa mzuri kwa upande wao wakikutana na ushindani mkubwa kwenye mashindano ya CECAFA ya kuwania kufuzu ushiriki wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake. Mabingwa hao watetezi wa CECAFA waliishia katika hatua ya makundi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Kundi B, wakianza kwa kupoteza…