Mngulumi na Deus waungana kusaka kura za CCM Kongwa
Kongwa. Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kongwa, Isaya Mngulumi anafanya kazi na waliokuwa wagombea wenzake ili kutafuta kura. Kitendo hicho kinatajwa kuwa mkakati wa kumaliza makundi ndani ya chama. Hata hivyo, aliyeshika nafasi ya tatu katika kura za awali Deus Seif ameonekana kuwa turufu ya chama hicho ndani ya jimbo akitakiwa…