Watuhumiwa 15 wakamatwa kwa mauaji ya kijana – Video – Global Publishers
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa kuhusu video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha kijana akipigwa na wananchi waliokuwa wakijichukulia sheria mkononi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa amesema uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa kijana huyo ni Yohana Mgaya (14), mkazi wa Don Bosco, Kata ya Mkwawa, Manispaa ya Iringa. Marehemu alihusishwa na matukio…