JKT, Polisi nusu fainali ya kibabe
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Cecafa kwa wanawake, JKT Queens Septemba 14 saa 9 jioni kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi, Kenya itakuwa na kibarua cha kufuzu fainali ya michuano hiyo ikiivaa Polisi ya Kenya. Kabla ya mechi hiyo itatanguliwa na nusu fainali ya kwanza kati ya Rayon Sports Women ya Rwanda na Kampala…