Dar es Salaam. Malalamiko dhidi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 hatimaye yamefikia hatua ya mahakamani, baada ya
Year: 2025

KWA wanachoendelea kufanya KenGold kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ni kama ‘kuchafua hali ya hewa’. Hiyo inatokana na majembe inayoyashusha baada ya kutembeza

Dar es Salaam. Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kujifunzia kwa wanafunzi wa sekondari imeendelea kuwa mwiba, baada ya robo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa majaribio

CHUO cha Furahika Education College kilicho chini ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kimewaasa wakuu wa vyuo vyote nchini kuwa na

KIKOSI cha Singida Black Stars kimerejea mazoezini na leo kinatarajia kwenda Arusha kwa ajili ya kuweka kambi ya mwezi mmoja kujiweka fiti na michuano iliyopo

JUSTIN Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada, huenda akatangaza kujiuzulu ndani ya siku chache, kulingana na ripoti za vyombo vya habari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …

Nairobi. Tovuti ya Daily Nation imeripoti kuwa vijana wanne kati ya 29 walioripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana nchini Kenya, wamepatikana wakiwa hai huku familia zao

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Eliuter Mpepo ambaye aliwahi kufanya vizuri katika Ligi Kuu Zambia akiwa na Trident FC anajiandaa kutua Tabora United kwa mkataba

Ni Jumatatu nyingine ya kuondoka na mshindo ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yakiwa hapa. Suka jamvi

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemvaa mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo akidai haudhurii vikao vinavyojadili maendeleo ya mkoa huo, badala