Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2025

  • Home
  • 2025
  • Page 1,344
Michezo

Burkina Faso yachomoa bao ‘jiooni’

January 5, 2025 Admin

Bao la dakika ya 90 lilifungwa na Aboubacar Troure wa Bukina Faso lilizima matumaini ya Harambee ya Kenya kushinda mchezo wa kwanza wa Kombe la

Read More
Habari

Benki ya NBC Yazindua Hati Fungani ya Sh Bilioni 27.2 Kuwezesha Wajasiriamali Nchini.

January 5, 2025 Admin

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Kiwango cha kwanza cha sehemu yake ya pili ya Hati Fungani ya NBC Twiga, yenye thamani ya

Read More
Habari

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI; UMEME NI MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA.

January 5, 2025 Admin

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati jadidifu Dkt. Khatibu M. Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa uchumi, uhai, na maendeleo

Read More
Habari

Dkt Kikwete Akoshwa na Ushiriki wa Wadau Binafsi Kwenye Miradi ya Maendeleo, Aipongeza Benki ya NBC.

January 5, 2025 Admin

Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete amepongeza ushirikiano baina ya wadau binafsi na serikali katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ile inayohusiana na afya, akibainisha

Read More
Habari

MBUNGE KILANGO ASEMA WANANCHI WA JIMBO LA SAME MASHARIKI WANATOA MACHOZI YA FURAHA

January 5, 2025 Admin

SAME. MBUNGE wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela amesema wananchi wa Same wanatoa machozi ya furaha, kutoka na Barabra ya Same- Mkomazi kuanza kujengwa kwa

Read More
Habari

Utafutaji watoto wa jinsi fulani unavyovuruga familia

January 5, 2025 Admin

Dar es Salaam. Mume amechepuka. Mchepuko ameshika ujauzito, hatimaye mtoto wa kiume amezaliwa. Ni mume wa mke aliyefunga naye pingu za maisha miongo mitatu iliyopita

Read More
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 5, 2024

January 5, 2025 Admin

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Read More
Habari

Udhaifu katika ndoa ni sehemu ya ndoa

January 5, 2025 Admin

Kanada. Kwanza, kila binadamu ana ubora na udhaifu, hata awe mzuri au mbaya kiasi gani. Hivyo, wanandoa wanaposhughulikia ubora au udhaifu wao, wanapaswa kukumbuka kuwa

Read More
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 5, 2024

January 5, 2025 Admin

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 5, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Read More
Habari

Ukali wa mzazi unavyoweza kuathiri uhusiano na mtoto

January 5, 2025 Admin

Dar es Salaam. Wanasema samaki mkunje angali mbichi, methali hii inashabihiana na aina ya jamii za Afrika na dunia kwa ujumla, ambapo moja ya majukumu

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 1,343 1,344 1,345 … 1,369 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.