VIDEO: Simulizi ya kijana aliyeuawa kikatili akituhumiwa kuiba parachichi
Iringa. Katika Mtaa wa Kisiwani, Manispaa ya Iringa, majonzi na simanzi vimetanda baada ya kijana, Yohana Mgaya, kuuawa kikatili kwa kupigwa na kisha kuchomwa moto akituhumiwa kuiba maparachichi. Tukio hilo ambalo si tu limeacha majonzi kwa familia yake, bali pia kwa jamii yote ya Mkoa wa Iringa na Tanzania kwa ujumla lilitokea Septemba 11, 2025….