KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa KenGold, Joshua Ibrahim baada ya kufikia makubaliano binafsi na nyota huyo,
Year: 2025

The habari inatokana na taarifa za umma za nchi mwenyeji, mawasiliano na huduma za uhamiaji kutoka ndani ya Syria, na ufuatiliaji wa mpaka unaofanywa na

KIKOSI cha Simba tayari kipo jijini Tunis, Tunisia kikijichimbia katika hoteli moja ya kishua iitwayo Royal Asbu, huku benchi la ufundi pamoja na wanachama na

Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi wa Kata za Msanga na Boga wakati akiwasilisha taarifa

YANGA itaingia rasmi kambini Avic Town kesho Ijumaa kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuikaribisha TP Mazembe katika pambano la raundi ya nne ya Ligi

Dar es Salaam. Licha ya kucha kuwa urembo asili unaoongeza uzuri kwenye miguu na vidole vya mikono kwa binadamu na wanyama, wataalamu wa afya wanataja

Dar es Salaam. Umewahi kukutana na mtu, kila akipumua anatoa harufu kali usiyoweza kuivumilia? Wengi huhisi ni jasho la mwili na wachache wakidhani ni harufu

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametaja umahiri wa sheria na misimamo katika kutaka haki kuwa miongoni mwa mambo yaliyomshawishi kumteua

MAOFISA wa usalama nchini Korea Kusini, wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Anaripoti

Katika kuadhimisha mwaka mpya, tunapata nafasi ya kutafakari na kufanya mabadiliko chanya katika maisha yetu. Wengi hutumia kipindi hiki kupanga malengo na mikakati mipya na