Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi wa Kata za Msanga na Boga wakati akiwasilisha taarifa
Year: 2025

YANGA itaingia rasmi kambini Avic Town kesho Ijumaa kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuikaribisha TP Mazembe katika pambano la raundi ya nne ya Ligi

Dar es Salaam. Licha ya kucha kuwa urembo asili unaoongeza uzuri kwenye miguu na vidole vya mikono kwa binadamu na wanyama, wataalamu wa afya wanataja

Dar es Salaam. Umewahi kukutana na mtu, kila akipumua anatoa harufu kali usiyoweza kuivumilia? Wengi huhisi ni jasho la mwili na wachache wakidhani ni harufu

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametaja umahiri wa sheria na misimamo katika kutaka haki kuwa miongoni mwa mambo yaliyomshawishi kumteua

MAOFISA wa usalama nchini Korea Kusini, wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Anaripoti

Katika kuadhimisha mwaka mpya, tunapata nafasi ya kutafakari na kufanya mabadiliko chanya katika maisha yetu. Wengi hutumia kipindi hiki kupanga malengo na mikakati mipya na

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Haya yanajiri siku moja baada ya Israel kwa mara nyingine kuamuru kuhamishwa kwa maeneo makubwa ndani ya Gaza, ikitaja ufyatuaji wa roketi katika ardhi yake.

Maafisa nchini Korea Kusini wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol, wakati wafuasi wake wakiendelea