Jacob Massawe aamsha mastaa Namungo
NAHODHA wa Namungo, Jacob Masawe amesema licha ya kukutana na timu zilizoshuka daraja, lakini hawatadharau mechi hizo kutokana na upinzani wa timu zilizo chini yao, huku akishangazwa na historia ya alipotoka timu kupotea. Namungo ipo nafasi ya 11 kwa pointi 31 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, ambapo imebakiza mechi mbili dhidi ya KenGold na…