Morogoro wajipanga kuongeza uzalishaji wa maziwa
Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amesema licha ya mkoa huo kukosa takwimu sahihi za uzalishaji wa maziwa, wamejiwekea mikakati ya kuongeza uzalishaji hadi kufikia lita 50,000 ndani ya miaka miwili ijayo. Malima amesema hayo leo Ijumaa, Mei 23, 2025, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya 28 ya…